kama CCM inataka amani Tanzania wasije wakachakachua hata kura moja kwa maana watu wa Mwanza wamekuwa makini sana na sasa hivi wamejaa jiji wakisubiria matangazo. Wanajua vizuri jumla ya kura za Slaa Mwanza, sasa wasije wakthubutu kabsaaaaaaaaaa kama bado wanaihitaji amani!!