Jamani mmeyasikia haya!!!!!?

Gazeti gani mbona nimeenda globalpublishers lakini sijaona kitu kama hicho?
 
Hehehe Kiama kinakuja so unamtoa mtoto shule!!!
JESUS IS COMING!! LOOK BUSY!!
 

Naamini humu kuna watu makini,wasomi na wenye uwezomkubwa wa kuchambua mambo katika jamii ya watanzania ambayoinanyonywa na MAFISADI, lakini pia tuna watu wanaoamini magazeti ya udaku!!!!!!!! Inasikitisha sanaaaaaaa......! Hayo ni magazeti yaliyoruhusiwa na serikali ya kifisi ili kujenga uoga, kuzuga, kupotezesha, kudhurumu haki na kila aina ya uzugaji kwa watanzania ili wazidi kupumbaa. Ni njia moja wapo ya kutengeneza MISUKULE wa CCM.

Sio gazeti la kunukuu hata kidogo. Ni magazeti ya Uswazi yasiyo na hoja ya ukombozi.
 
Hehehe Kiama kinakuja so unamtoa mtoto shule!!!
JESUS IS COMING!! LOOK BUSY!!

hii ni kwa wale wliobahatika kuangalia filamu ya John English a.k.a Mr. Bean
 
jambo usilolijua ni sawa na usiku wa giza,unaposikia mungu mwana si kama vile alivyo ridhi na babaye JK,kama vile ulivyo mwili na viungo vyake,ndivyo ilivyo hali ya UUNGU na nafsi zake tatu,mungu baba,mungu mwana na mungu roho mtakatifu.
Kweli usilolijua ni usiku wa giza....
Huo utatu nisaidie kunipa maandiko(ushahidi)....ili nikueleweshe usiyo yajua!!!!
 
Na mimi Nimeoteshwa kuwa alietoa hayo maneno ni kichaa!!!!
 
Sasa watanzania zaidi ya 90 % wanaumwa ugonjwa wa kuamini dini za wazungu na waarab. Ni ugonjwa hatari kuliko ata HIV. Kipimo rahisi ni Loliondo kwa Babu. Inasikitisha sana.
 
watakuja wengi sana wa aina ya babu na wengine wa aina za kipekee....
 


Maalim, jibu hoja hapoo juu in red
 
Hakuna haja ya kumpiga mawe, ye mwenyewe ajitundike kwa kamba shingoni!
 
Hivi ile Hospital ya Mirembe ilifungwa?
 

Shehe wetu wa Mwembechai na kuoteshwa kwake kuwa atakayempinga Kikwete u rais atakufa je!?
 
Dah!!siku hizi ni nini kimetokea huko mbinguni jamani au shetani keshakata minyororo?
Maana hivi vi mambo visivyo angaliwa inaweza ikafikia watu wakajifungia mahali na kutoka na kitu cha ajabu na chenye madhara makubwa kwa jamii.
Maana na huu mtindo wao wa sijui Yesu kanitokea mara Mungu nae kaniotesha na huko Rombo Bikira maria kamtokea nini hii ?Serikari inamaana haijui negatively impact ya huu upupu unaoenezwa ?Anyway ngoja sasa atakae kuja kwa jina la huyu aliyebaki MTUME S.W.A hiyo itakua funga kazi.
Wakuu wa eneo hilo komaeni na date hiyo kama haijawa kweli msiache kumlenga hata na manati ili iwe fundisho kwa waropokaji.
 
Dalili zote za mwisho wa dunia kama jibu la swali aliloulizwa Yesu ndani ya matayo 24, zimeshatimia. Swali lenyewe lilikua na vipengele vitatu (i)Ni lini jiwe halitasalia juu ya jiwe lingile katika hekalu la Yerusalemu? (ii)Ni nini dalili za kuja kwa Yesu na (iii)Ni nini dalili za mwisho wa dunia. Bwana Yesu alijibu vipengele vyote vitatu katika hiyo sura ya mt 24.
Lakini kwa habari ya siku na saa hakuna ajuaye hivyo kusema na tarehe 21 sii la kimaandiko hivyo ni uongo. Inawezekana ikawa kabla ya hiyo 21 may au baada yake. Cha msingi ni watu kuziungama dhambi zao na kuziacha kwa kumwamini mwana pekee wa Mungu yaani Masiha Yesu.
Kwa jinsi hiyo hata kiama kikiwa ni leo hii, tuna ujasiri mbele za Muumba wetu.
.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…