Bahati mbaya haya magazeti ya udaku huwa siyasomiAsubuhi nikiwa naelekea kazini, nikaona magazeti mengi tu moja wapo likanivutia na gazeti hilo ni RISASI nikaona KIAMA nikataka kujua kulikoni??????????
niliyoyakuta huko ndani wana JF huwezi amini macho yako. Kuna muumini mmoja wa dhehebu la EAGT ameoteshwa na Mungu kuwa tarehe 21 May ni siku ya KIAMA, hivyo watu tujiandae, pia ameeleza kuwa ndio maana babu wa Loliondo katumwa ili kuwaponya watu. nae baada ya kuoteshwa akaamua kumsimamisha binti yake shule ili ajiandae vema kwenda katika ufalme wa Mungu.
hakuishia hapo amesema kama hii haitatokea basi apigwe mawe mpaka afe kama manabii wengine wa uongo walivyofanywa.
jamani twaenda wapi???????? Tafakari!!!!
Halafu wana jamii hivi tunajiuliza kweli " kwa nini haya madai ya kuoteshwa na mungu, ama kuwa mwisho wa dunia unakaribia au mti fulani dawa ya magonjwa sugu" yanatokea upande mmoja tu wa Imani? (kama si KKKT, basi EAGT, au RC) lakini si Muslims??(Shia, Ahmadiya, Sunni, Ibaadhi)??? Hebu tutafakari jamani???
Asubuhi nikiwa naelekea kazini, nikaona magazeti mengi tu moja wapo likanivutia na gazeti hilo ni RISASI nikaona KIAMA nikataka kujua kulikoni??????????