Jamani Mmeonaaaaaaaaa!

Yaani kwa wivu alionao mme wangu hiko kiti KISINGEKALIWA NA MIMI khaaa..................mwenzenu kazi ninayo ila hanichoshi kwa ma wivu yake
 
Dizaini hii ukiiweka bar,utawapata sana wanaume wakware.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…