Jamani,mlinzi naye analiwa pia

KiuyaJibu

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2007
Posts
853
Reaction score
210
Nasikia hii kitu huko Mufindi na Njombe ni deal ile mbaya
 

Attachments

  • Kitoweo.jpg
    54.4 KB · Views: 794
Nasikia hii kitu huko Mufindi na Njombe ni deal ile mbaya
We unawachokoza wanyalukolo?

Ngoja wakushukie na kukupa madongo, kavu kavu, hadi uipate.

Usitarajie, atatokea msamaria mwema atakayekuokoa na hizo dhoruba,na ngumi za uso uatakazozipata, kutoka kwa hao wanaokitumia hiko kitoweo, ambapo kwa maelezo yao wenyewe, wanasema hakuna nyama delicious katika dunia hii kama hiyo ya wowowowowowo!!
 
Source ya hizi picha, Tafadhari. Sababu sio Tz nahisi. Ni misemo ya ku-generalize hii sababu tukio dogo labda lilitokea maeneo haya. Ila sidhani kama kiujumla ina ukweli.
 
Hapo ni Iringa sehemu gani?:wacko:
 
Yani ulinzi shirikishi nae anatafunwa kama mbuzi loh!
 
Kitoweo cha kawaida hicho mbona??? Na Wengine tushakila sana tuu mitaani! Jiulize mishkaki mitamu ya chelewa inatokana na nyama ya nini???
 
Hadi hivi sasa duniani nchi zifuatazo ndiyo walaji wazuri wa hicho kitoweo nazo ni China, Indonesia, Korea, Mexico, Philippines, Polynesia, Taiwan, Vietnam, the Arctic and Antarctic and two cantons in Switzerland.
Na hiyo picha nimeipata kutoka moja ya nchi hizo nilizo zitaja{Bolded} hapo juu.Kwa bahati mbaya Tanzania tunaonja tu;na ndiyo maana hutoko katika hiyo orodha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…