bushland
JF-Expert Member
- Mar 6, 2015
- 7,015
- 4,982
Mlima kilamanjaro miaka miwili iliyopita kurudi nyuma ulikuwa mzuri na wa kuvutia sana uzuri huo uliongezwa na barafu lililotanda juu ya mlima huo sehemu kubwa ya kileleni, na vilele vyake viwili vya kibo na mawenzi.
Lakini leo nimeucheki mlima huu sio tena ule wenye uzuri wa kuvutia kuangalia, barafu linazidi kuisha kabisa, Barafu imebakia kidogo sana.
Tatizo ni joto au uharibifu wa mazingira?
Lakini leo nimeucheki mlima huu sio tena ule wenye uzuri wa kuvutia kuangalia, barafu linazidi kuisha kabisa, Barafu imebakia kidogo sana.
Tatizo ni joto au uharibifu wa mazingira?