Jamani mimi mapenzi tena basi!

Meb unapenda level zisizo zako mkuu na wengi yawezekana wanakaa na ww kwa pesa tu lakin wanakuwa hawafufeel kivile. Ushauri wangu angalia wasichana level unazozichagua hapo ndio uanze kurekebisha
 
Huu Uzi ni porojo,nimeuchunguza sana kwa makini mwanzo mwisho,HAPANA
 
umenishauri sana na nashukuru sana, ubarikiwe
 
Hapo kaka umenigusa, kwenye sura na umbo mm ndio ugonjwa wangu
 
Unakua na moyo gani wa kujiuliza uliza mara mbili kwa mtu umemfumania kwa macho yako khaaa tupa kuleee
 
Jamani nawashukuru wote mliotumia mda wenu kunishauri, ki ukweli ushauri wenu umenisaidia sana kupata nguvu mpaka sasa nadhani naweza kufanya maamuzi, mbarikiwe sana sana.
 
Aombe Mungu amsaidie kwa uzinzi wake!? No.Atubu kwanza kisha aendelee kumwomba Mungu ampe mke.Asijifanye kiwembe!
 
Tatzo co wewe nyota ya kusalitiwa inakusumbua hata demu ye mwenyewe alikua hataki sema nyota yako imemlazmisha
 
Acha haraka/papara jiulize dhambi gani umefanya utubu MUNGU atasaidia wewe!
 
U will never get the right gal if u will not let go of the wrong one

Never give up ,wako wa maisha yupo na amini utampata kwa wakati uliopangwa.
 
inaonyesha unamajivuno sana kama kabila flani hivi... wahe........e, sisi wanawake huwa hatupendi wanaume wenye majivuno kupita kiac maana hiyo kasoro inamfanya mwanamke akuone huna maana ya starehe tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…