Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,280
- 3,792
Waliochanga wapo kimya ila wewe ambae hata mia hukutoa ndio umekuwa tarumbeta.Ni nani ambae amesema mgonjwa huwa hali....
Mbona unajistukia mzeebaba[emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamani michango yenu ni muhimu, mchangieni mgonjwa apate kupona harakaView attachment 1051882
Sent using Jamii Forums mobile app
Mazingaombwe ya kufanya mchanga kuwa mchele
HAmna mzeebaba hicho ni chakula cha kawaida tu kwa mgonjwa wetu[emoji1][emoji1][emoji1]Mgonjwa anakula bata.[emoji3][emoji3]
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Nani amepost majungu Mpwaa....Watu wana majungu! Sasa unataka jamaa ashindie mihogo kama dr. Slaa?
Mpwaa na ndio mana nasisitiza tumchangieKwa taarifa tu Ulaya hakuna ugali wa Mama ntilie, na nzuri zaid inabidi Lissu ajenge mwili, ale ale ale aleee aleee ale sanaaaa
Tarumbeta kivipi bossWaliochanga wapo kimya ila wewe ambae hata mia hukutoa ndio umekuwa tarumbeta.
Sent using Jamii Forums mobile app