Sukari Yenu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2014
- 1,698
- 1,260
😂😂😂😂😂😂😂Unajitumia na kujijibu mwenyewe kweli depression mbaya sana
Normally mzee😂😂😂😂😂😂😂
Wewe jamaa ni Mafia.
Nomaa kekofenichaHii December nitaona meng[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1287212
Unajitumia na kujijibu mwenyewe kweli depression mbaya sana
Mzee ndo umenza mapenz ??
Sasa unapaswa kujibu vipi?Unaitwa 'babe' nawe unajibu 'babe'
Kesho utaitwa 'bae' nawe utajibu 'bae'
Keshokutwa 'my' nawe utajibu ' my'...
Alafu unatarajia siku moja nawe uwe Baba.!!!???
Acha uchokoziUnajitumia na kujijibu mwenyewe kweli depression mbaya sana
Unajitumia na kujijibu mwenyewe kweli depression mbaya sana