Jamani, mbona mkulu alikwenda kuhakiki kamoja tu?

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,638
2,720
Ha haaa! Kuna picha ya mkuu wa kaya ikiwa ina circulate kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akiwa heavily armored...
Na imani kubwa hii picha ni photo shopped but najiuliza mbona mkulu wa kaya alikwenda kuhakiki kabunduki kamoja tu na ka bastola kamoja? Sasa hii midude mingine imetoka wapi jamaniii?
 
Umesema ni photoshop alafu bado unauliza? Angalia na sheria ya mitandao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom