Jamani mama mwenye nyumbaa!!!!

Utaanza kulea mtoto wa mwanaume mwenzio muda si mrefu
 
Mitihani midogo tu hiyo potezea, kaa kivyako au owa wa kwako, hao wengi ni wagonjwa !!
Kama hamkua makini hamtafikia umri wetu. Hao ni wachache tu miongoni wa wazuri !!

Ndugu si ndo hivi juzi kata nikafanya importation kutika Dar coz nipo mikoani baada ya mgeni kuondoka sasa. Naona pozi zake zimepungua sijui ananilia timing
 
Yaaani bado hujapiga,unakuja na hoja nyepesi hapa eti ni wa mnene gani! sukumia moto kijana!mambo mengine ni ajari za kawaida!
 
nakushauri kimbia sana maana hao vimada wa vigogo hao utaishia jela....
 
Usiguse ukigusa tu imekula kwako maana atanogewa mpaka mzee atashitukia issue na ndipo pa kwenda segerea mkuu.
 
wewe jamaa we unadhani hiyo mali nzuri wewe peke yako ndo umeiona kuwa makini wewe shauri zako!!!!!!!!!!!!! usione vyaelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…