Jamani maloan officer mnalaana

Mkuu karibu JF.
Sasa ishu za mahusiano kama hiyo yako hujadiliwa katika jukwaa maalumu linaitwa 'jukwaa la mahusiano, mapenzi na urafiki'
huku utapewa ushauri na magwiji wa mambo hayo.
Bofya hapa:Mahusiano, mapenzi, urafiki
 
Wenzio wanawaza ajira,we unawaza mapenzi tu.
 

Jifunze kujiamini. Kama unaona hapa kuna querry kwann usifanye ka research kidogo kubaini hilo. Kwani hujui mazingira ya kazi ya loan officer wako!? Acha uvivu!
 

kajifunze kuandika kwanza kisha ndiyo uombe ushauri, maana umeandika kama miguu ya bata imepita
 
Mkuu hapo ukiona manyoya ujue mnyama kaliwa hakuna kazi hapo hiuyo kasharubiuniwa na tusent twa rushwa wanatopata hao ma LO cha msingi mchunguze ama la nicheki pm nikupe software ya kunasa mawasiliano yake ili ujue tu moja mkuu.otherwise pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…