Jamani Mabinti wa hudumu wa ndege mtanitoa roho mie!!

Ondoa shaka nipo kazini! Naendelea na uchunguzi unajua ishu ni kubwa inaigusa ikulu hivyo inahitaji umakini!
Nauamini utendaji wako maana ile ya mkulu bagamoyo kuitoa tu yataka uwe mwendawazimu, we are waiting for the Riziwani
 
hii thread ni wapanda ndege tu...... waendesha maguta pia tunapata shida tunapopeleka matunda kwa mama muuza genge dah, yaani mweeee..... akiinama lal.
Ahaaaahaaahaaa hee kumbe nako kuna mifadhaiko? Pole wenzangu na mie!
 
wale wa vingamuzi kipi kinafaa kati ya star times easy tv na hao ATN naona hao jamaa wa atn wanakuja juu kwa mnaopenda ga,e,jana nimewasikia radio maria wanapatikana mikoa mingi,

king'amuzi cha star times kuna channel ya uganda inaitwa UBC inaonyesha uefa champions league.
 
Ahaaaahaaahaaa hee kumbe nako kuna mifadhaiko? Pole wenzangu na mie!

kila sekta wanawake vidosho/vimwana/vigoli/visistaduu ni gumzo. siku moja nilikuwa shambani nakusanya mihogo tunapakia kwenye kenta mara kuna binti wakawa wanatoka shamba....dah hakuna cha sindiria, yaani chuchu saa sita usipime palepale kuchwa cha chini kikasimama kuonyesha si haba. dah aibu
 
Mm
 
macho yako yatakuwa yanavutiwa na vimini tuu mbona suruali pia wanavaa au huzionagi KQ, KLM
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…