Jamani Mabinti wa hudumu wa ndege mtanitoa roho mie!!

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,921
19,680
Katika umri wangu wa miaka 32 ya uhai wangu nimebahatika kusafi kwa ktk mataifa yapatayo 22 duniani!
Kitu kilicho nishangaza ni aina ya mavazi ya wahudumu wa kike ktk ndege kuwa katka muundo wa vimini mahaba!

Naomba mnisaidie juu ya hili, haya mavazi kwa nini ni vimini mahaba na yenye kufanana kwa wahudumu wa ndege karibu wote dunia?Nawatakia utazamaji mwema wa ligi ya mabingwa leo mimi naangalia mechi ya Real Madrid vs Ajax, sijui wewe mswahili mwengu unaangalia mechi gani
 
Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
103
Hivyo vimini vinasaidia wakati abiria wakiwa wamechoka ha ha ha.
Mie naangalia itakayoonywesha na channel yoyote ya tv. Badra Masoud tafadhali usikate umeme
 
Lokissa

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
7,444
2,475
wale wa vingamuzi kipi kinafaa kati ya star times easy tv na hao ATN naona hao jamaa wa atn wanakuja juu kwa mnaopenda ga,e,jana nimewasikia radio maria wanapatikana mikoa mingi,
 
Froida

JF-Expert Member
May 25, 2009
8,773
3,228
Ulituambia tukae mkao wa kula vipi sikuhizi uzalendo umekushinda haya mpira mwema
 
Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,921
19,680
wale wa vingamuzi kipi kinafaa kati ya star times easy tv na hao ATN naona hao jamaa wa atn wanakuja juu kwa mnaopenda ga,e,jana nimewasikia radio maria wanapatikana mikoa mingi,

Kama una dekoda ya ting nipoa lakini kama huna tumia antena ya kawaida utapata ATN vizuri tu!
 
Gama

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
13,114
4,504
Vimin?!, KLM pia wanavaa vimini?!............. Rudia uchunguzi wako vizuri- au obseration iliongozwa na mihemuko?!.
Katika umri wangu wa miaka 32 ya uhai wangu nimebahatika kusafi kwa ktk mataifa yapatayo 22 duniani!
Kitu kilicho nishangaza ni aina ya mavazi ya wahudumu wa kike ktk ndege kuwa katka muundo wa vimini mahaba!

Naomba mnisaidie juu ya hili, haya mavazi kwa nini ni vimini mahaba na yenye kufanana kwa wahudumu wa ndege karibu wote dunia?Nawatakia utazamaji mwema wa ligi ya mabingwa leo mimi naangalia mechi ya Real Madrid vs Ajax, sijui wewe mswahili mwengu unaangalia mechi gani
 
Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,921
19,680
Vimin?!, KLM pia wanavaa vimini?!............. Rudia uchunguzi wako vizuri- au obseration iliongozwa na mihemuko?!.
Ukisoma kwa makini thread hii nimesema "KARIBU wote"
Naamini yatakuwepo mashirika mengine ya ndege ambayo hayaamini ktk vimini mahaba lakini ni ukweli usiopingika kuwa vimini ni mtawalia kwenye ndege!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,519
klm ipi? hii marehemu mtarajali? mbona kuna wanaovaa sarawili? huyu anazinguliwa na zile soksi za mwili wanazovaa wadada..
Vimin?!, KLM pia wanavaa vimini?!............. Rudia uchunguzi wako vizuri- au obseration iliongozwa na mihemuko?!.
 
Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,921
19,680
klm ipi? hii marehemu mtarajali? mbona kuna wanaovaa sarawili? huyu anazinguliwa na zile soksi za mwili wanazovaa wadada..
Sarawali ifananayo na ngozi ya mrembo tena ile ngozi ya pajani ni sawa angebaki hivyohivyo tu, maana hakuna maantiki ya hiyo soksi labda ni kwaajili ya vumbi!
 
Mwakalinga Bujo

JF-Expert Member
Oct 22, 2008
2,720
1,436
Hilo swala hata mimi nimejiuliza sana wadau..ila ni burudani coz katika safari zangu nilishawahi bahatika tafuna mmoja,sio wachoyo ndio uzuri wao.
 
Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,921
19,680
Hilo swala hata mimi nimejiuliza sana wadau..ila ni burudani coz katika safari zangu nilishawahi bahatika tafuna mmoja,sio wachoyo ndio uzuri wao.
Dah hongera sana kaka! Nitaomba maujanja mkuu maaanaa kila nikisafiri roho yangu inakuwa majaribuni ile mbaya mkuu!
 
King'asti

JF-Expert Member
Nov 26, 2009
27,794
24,519
soksi za mwili ni tofauti na sarawili na huwa zinavaliwa na sketi. sasa ww ukikutana na aliyevaa soksi zimefanana na rangi ya paja zinakupa kichaa, unakuta chini yake kuna makovu balaa! kazi unayo kaka,usione kichaka! utaishia shimo la tewa aisee,mnunulie mamaa hizo soksi u-fantasize home,lol
Sarawali ifananayo na ngozi ya mrembo tena ile ngozi ya pajani ni sawa angebaki hivyohivyo tu, maana hakuna maantiki ya hiyo soksi labda ni kwaajili ya vumbi!
 
Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,921
19,680
soksi za mwili ni tofauti na sarawili na huwa zinavaliwa na sketi. sasa ww ukikutana na aliyevaa soksi zimefanana na rangi ya paja zinakupa kichaa, unakuta chini yake kuna makovu balaa! kazi unayo kaka,usione kichaka! utaishia shimo la tewa aisee,mnunulie mamaa hizo soksi u-fantasize home,lol
Ndugu we acha tu, kwani ingekuwa rahisi hivyoo mbona ningefuurahi!

Ujue sie vijana hatuendeshagi ligi kwetu game mtoano tu! Ukininiona na demu mwezi ujue huyo kanikamata kikwelikweli!

Sasa huyo wakumnunulia atatoka wapi au vipi we @King'asti tuingie ubia nikununulie?
 
ndenga

JF-Expert Member
Dec 20, 2010
1,783
1,287
Hongera ya nini, uharibifu mtupu. Utakuwa ulimtafuna demu wangu wakati uliacha mke wako nyumbani. Sio vizuri na usirudie tena.
 
HAZOLE

JF-Expert Member
Feb 25, 2011
1,552
693
hii thread ni wapanda ndege tu...... waendesha maguta pia tunapata shida tunapopeleka matunda kwa mama muuza genge dah, yaani mweeee..... akiinama lal.
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom