mkuu kuchomeka tu waya sio kupata internet...nikupe mfano rahisi...sio kila aliyeunganishiwa bomba la maji na kampuni ya maji atapata maji wakati wote...kuna mda huwa yanakatika ingawa line ya bomba unayo...umenisoma apo! ok
kuna mambo muhimu ya kujiuliza unapokuwa unaunganisha waya wako kwenye pc...
ni kweli huo waya una internet mda huo?
ni configurations gani za IP Address zinatumika ili uwe connected ? (kuna automatic na manual )
kama ni automatic ok, kama manual then unazijua? hizi huwa anazijua Network admin wako.
hayo ni baadhi tu...ukitoa maelezo juu ya hayo utaweza kusaidika kwa urahisi...