siku moja ikiwa aliwah niaga siku mbili kabla kuwa anasafiri kwenda Arusha badala yke yupo gest fulan hapa mjini. kumbe mungu mkubwa pale gest kuna mtu anamfahamu na ananifahamu mimi lakin yeye hamfahamu. huyo ni jiran yetu hapa tulipopanga ndo akanipgia simu kuwa mumeo yuko na yule mpangaji mgeni. ndo 2kaenda na mjumbe na watu wawili na tukamfuma live. Je mie nifanyeje wanajf?
Kuna boyfriend wangu ambaye 2mekuwa wote ktk mahusiano kwa muda wa miaka minne toka tunasoma secondary lakini ameamua kuwa na mahusiano na mpangaji mwenzangu..,ambaye anasoma chuo kikuu hapa mjini na mm ndo nilimtafutia chumba. Niligundua kuwa ananifanyia ubaya huo siku moja ikiwa aliwah niaga siku mbili kabla kuwa anasafiri kwenda Arusha badala yke yupo gest fulan hapa mjini. kumbe mungu mkubwa pale gest kuna mtu anamfahamu na ananifahamu mimi lakin yeye hamfahamu. huyo ni jiran yetu hapa tulipopanga ndo akanipgia simu kuwa mumeo yuko na yule mpangaji mgeni. ndo 2kaenda na mjumbe na watu wawili na tukamfuma live. Je mie nifanyeje wanajf?
La hasha huo si uungwana...
Kwa kuwa huyo ni BF, unaweza kusitisha mahusiano yenu na ukaangalia usawa mwingine...
Halafu kuna kitu kimenifanya nicheke, hivi fumanizi la BF au GF nalo lahitaji mjumbe wa mtaa!!
^^
IHANDA
Huyo ni boyfriend au Ni mumeo? Hayo ni mambo mawili tofauti na yanasitahili uzito tofauti wa uamuzi.
^^
.....halafu bado unaomba ushauri...hebu kalale unakotaka wewee..Yan ni bado hatujafunga ndoa na nilishamtambulisha nyumbani. na kwao wananifahamu lakini mwenzangu mara nyng halali nyumbani, nikimuuliza anasema kama ninataka na mimi nikalale ninakotaka....