Jamani kwaherini kwa muda wa wiki mwezi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jamani kwaherini kwa muda wa wiki mwezi

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Jan 20, 2012.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Wana jf wapendwa woote kwa kweli mda wa kurudi zangu kijijini unawadia,wiki hili na la Maandalizi mazito ya University exams na napenda kuwapa taarifa kuwa wale wabishi waliokua humu kwa wiki hii wamebanwa na maaandalizi ya UE,baada ya hapa naelekea kwetu Mchambawima ambapo sitapata access hii ya kuchati na wanajf,Nitawamiss sana.Passed away like a shadow.
   
Loading...