Jamani kwa mwenye kujua soko la mitiki

zegamba180

JF-Expert Member
Oct 8, 2014
820
541
Kuna jamaa yangu amepanda miti ya mitiki 105. Mpaka sasa imefikisha miaka 4. Anayejua soko lipoje?
 
Bado michanga hiyo. Ina bei nzuri sana kimataifa. Tatizo muuzaji ni Mo Enterprises.
 
Ili iwe sokoni inabidi iwe si chini ya miaka 20 chekiana na crdb huwa wanatoa mkopo kwaajili ya matunzo ya shamba upo wapi tz hii coz muheza na moro ni zao linaloshamiri sana au pia waweza kwenda muheza tanga kule kuna makampun ya kimataifa yana deal na mitiki utapata abc's
 
Back
Top Bottom