Jamani kuna wanaume watamu sana

Kama rushwaaa
 
Huyo jamaa ni mmakonde?

Mana Wamakonde,wamwera na wamakua tunajua sana.
 
Lidume wewe nakujua
 
Mnaoandika hivi mara nyingi huwa hamuyaishi maisha mnayoyaandika ila unatumia uandishi kujifariji..

Kama ni kweli hongera sana..
 
# Roca fella

hakika hiki ni kizazi Cha watu wenye mioyo migumu na ni wagumu kubadilika, hakika napata kuwaombea kheri na msamaha kwa mola mlezi.
hizo ni Siri katika ndoa hupaswi kuweka hadharani ikiwa ni mumeo, tofauti na ndoa hiyo ni zinaa. Tukumbuke maneno ya nabii Al Masih issa ibn Maryam alitukumbusha tutende yaliyo mema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…