K Kubingwa JF-Expert Member Joined Apr 23, 2010 Posts 505 Reaction score 69 Nov 11, 2011 #1 Wadau nisaidieni tofauti ya maneno haya kama yanavyotumika kwenye procurement. 1.New 2.Used 3.Recondition 4.Scrappers Nawasilisha!
Wadau nisaidieni tofauti ya maneno haya kama yanavyotumika kwenye procurement. 1.New 2.Used 3.Recondition 4.Scrappers Nawasilisha!
ndyoko JF-Expert Member Joined Nov 2, 2010 Posts 4,971 Reaction score 1,656 Nov 11, 2011 #2 aisee dhambi ikikunogea ni ngumu kweli kuiacha. hebu angalia issue ya richmond inavyoisumbua government hata wamefika mahali wanabadili sheria just to satisfy the needs of mafisadi.
aisee dhambi ikikunogea ni ngumu kweli kuiacha. hebu angalia issue ya richmond inavyoisumbua government hata wamefika mahali wanabadili sheria just to satisfy the needs of mafisadi.
M Mponjori JF-Expert Member Joined Feb 21, 2011 Posts 2,205 Reaction score 551 Nov 11, 2011 #3 Siasa mchezo mchafu mkuu!wanatengeneza bomu na wataweza 7bu ccm wapo weng ko wataiptsha tu.lakn inauma sana jaman
Siasa mchezo mchafu mkuu!wanatengeneza bomu na wataweza 7bu ccm wapo weng ko wataiptsha tu.lakn inauma sana jaman