jonii jonii
Member
- Jul 10, 2016
- 70
- 39
Mkuu ngija tuwaitie Asheri CHelewa yule mtangazaji wa TBC aje kuwasaidia maana hapa.hahahah...ni wmbo shair au ngonjer.ila mi nmeelewa manake mkuu
kuku mwenyew mwehu huyu ila akutese tuu kwa maana tulikuambia hafai mjini kna kuku chotara msafi na anataga mayai na hali anatamia na kulinda vifaranga ,...sasa huyu kuku wa kijijin kazoea kuzurura tu na hajui awazalo na hajui kesho ipoje
Sio uchochezi ni kuku mkuuHuu ni uchochezi..
Sio shairi wala ngonjerahahahah...ni wmbo shair au ngonjer.ila mi nmeelewa manake mkuu