senatorb52
Member
- Jan 2, 2014
- 6
- 1
Wadau mm ni new member nimesoma Bachelor of Business Administration in Human Resource(SAUT).kila nikiapply kazi za HR nakosa nifanyeje na mtaji wa biashara sina naomba ushauli wakuu kitaa kigumu
Ungesomea ualimu ungekua hulii humu jf saivi.pole zako