Hahahaa etHivi kazi yako ya upishi na degree za watu zinahusiana na nini??
Hio low self esteem itakuja kukuua..
Kusoma kwa wenzako kunakuwasha nini?? Wewe si ulikimbia umande bwana acha kuwachukia waliopiga zao shule
Nyie juzi mlinitukana lakini,mi nikanyamaza tuHivi kazi yako ya upishi na degree za watu zinahusiana na nini??
Hio low self esteem itakuja kukuua..
Kusoma kwa wenzako kunakuwasha nini?? Wewe si ulikimbia umande bwana acha kuwachukia waliopiga zao shule
Usengetoa lugha za kejeli ingependeza zaidi
Wenye degree wataendelea kua nazo.. wewe endelea kupika mkuu.
Sawa bwana msomi,ila jifunze upishi kwani waliosoma na wasiosoma wote lazima wale chakula
Chakula cha kupika unachagua wewe au wao.?kesho nawapikia bwando na nguju,mboga ya kwetu tanga,nyie na madigree yenu subirini mradi ule wakuzalisha umeme uanze mpate
Mtanesco balaa lengine lile.ila kwa uzi aliouleta leo inaonekana anatuektia yupo timamu tena sana.Mtanesco part 3
Sent From Galaxy S9
Unamkumbuka daktari. Nadhani huyu kakosea ameongeza mwishoni sifuri moja. Upishi ulipwe laki tatu sabini! kwenda21Mtanesco part 3
Sent From Galaxy S9
Hongera sana Kwenda21.
Nimetamani huo wali maharage na kabichi. Bila shaka umetumia nazi tuu.
Unamkumbuka daktari. Nadhani huyu kakosea ameongeza mwishoni sifuri moja. Upishi ulipwe laki tatu sabini! kwenda21
duh, sasa hii sio mkuunyie na madigree yenu subirini mradi ule wakuzalisha umeme uanze mpate kazi,nyie si wasomi bwana,nyie mmesoma wenzangu