Jamani kazi ya upishi nimepata nashukuruni sana

Mimi kwani kunasehemu nimetukana jamani?ni mjinga peke yake anaweza kutukana wasomi,ila Mimi juzi nilishangaa sana hapa mlivyoni simanga baada yakusema natafuta kazi ya upishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ninasikitika kuwaaga rasmi kuwa naondoka nashukuru kipindi chote tulivyokuwa pamoja humu,nimepata kazi acha nipige kazi,kama nimewakwanza mnisamehe sana kwaherini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom