Jamani kazi ya upishi nimepata nashukuruni sana

kwenda21

JF-Expert Member
Mar 11, 2014
3,404
3,358
Juzi niliandika Uzi hapa kuwa natafuta kazi ya upishi wengine walinicheka wengine wakanipongeza,sasa kuna mmoja aliniunganisha sehemu nimepata, mshahara mzuri 370000 nalala hapohapo, matibabu, hela ya sikukuu napewa na Leo ninavyosema nimewapikia wali maharage na kabichi, wamesifia sana, kabichi sijaweka maji wakashangaa sana, kesho nawapikia bwando na nguju,mboga ya kwetu tanga,ingawa juzi mlinitukana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana.
Ila baadhi ya wateja wako+ aliekuajiri yawezekana wakawa na degree pia.
Cha msingi chapa kazi achana na changamoto za nyuma ulizopitia.
Hongera sana!!
 
Mkuu shukuru Mungu umepata kazi kama unaendekeza majungu hata hapo watakutimua,degree za watu zinakuhusu nini? We piga kazi
 
26 Reactions
Reply
Back
Top Bottom