Jamani kazi ya upishi nimepata nashukuruni sana

Juzi niliandika Uzi hapa kuwa natafuta kazi ya upishi wengine walinicheka wengine wakanipongeza,sasa kuna mmoja aliniunganisha sehemu nimepata, mshahara mzuri370000 nalala hapohapo ,matibabu,hela ya sikukuu napewa ,na Leo ninavyosema nimewapikia wali maharage na kabichi,wamesifia sana,kabichi sijaweka maji wakashangaa sana,kesho nawapikia bwando na nguju,mboga ya kwetu tanga,nyie na madigree yenu subirini mradi ule wakuzalisha umeme uanze mpate kazi,nyie si wasomi bwana,nyie mmesoma wenzangu

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂 loh!
 
Juzi niliandika Uzi hapa kuwa natafuta kazi ya upishi wengine walinicheka wengine wakanipongeza,sasa kuna mmoja aliniunganisha sehemu nimepata, mshahara mzuri370000 nalala hapohapo ,matibabu,hela ya sikukuu napewa ,na Leo ninavyosema nimewapikia wali maharage na kabichi,wamesifia sana,kabichi sijaweka maji wakashangaa sana,kesho nawapikia bwando na nguju,mboga ya kwetu tanga,ingawa juzi mlinitukana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana.
 
Hongera mwaya

Hongera sana mkuu,hakikisha wanakupa mkataba maana huo mshahara ni mkubwa sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hela ya sikukuu unapewa?.
Unaonekana una akili za kitoto au haujakuwa

"baba unahonga hawara elfu kumi,
watoto wanakufa na njaa nyumbani"
 
Juzi niliandika Uzi hapa kuwa natafuta kazi ya upishi wengine walinicheka wengine wakanipongeza,sasa kuna mmoja aliniunganisha sehemu nimepata, mshahara mzuri 370000 nalala hapohapo, matibabu, hela ya sikukuu napewa na Leo ninavyosema nimewapikia wali maharage na kabichi, wamesifia sana, kabichi sijaweka maji wakashangaa sana, kesho nawapikia bwando na nguju,mboga ya kwetu tanga,ingawa juzi mlinitukana hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ni ke?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom