Abdul Nassir
Member
- Sep 20, 2015
- 79
- 9
Jana nlkua nkijaza TCU.cas second selection nlipoingia nkaambiwa naweza zaja course mpaka 5 wakati nkiwa nasearch cha ajabu nmeona course za udsm zkiwa bado hazijajaa na kuna remaining capacity kubwa sanna wakati yalipotoka majna ya walojaguliwa batch 1 udsm ilijaa. Sas hii inamaana gani???