Jamani nahisi wife naye yuko JF lakini hatujuani! Halafu hakuna anayeongeleaga kuhusu JF tukiwa pamoja, so hakuna anayejua kama mwenzie yuko humu au la. Mi na wife tukishaingia home ni family time, hakuna cha kugusa PC wala kuhamishia ofisi nyumbani, labda kuwe na kazi ya ofisi ambayo ni so urgent.
Kasheshe ni pale tunapokuwa tunapiga story za kawaida ndo nachoka! Unakuta mapwenti mengi tu ni ya humu humu JF, tena mengine nili-comment mimi mwenyewe au mengine alicomment mwanamke (sa sijui ni yeye!). Kwahiyo najikuta niko ktk dilemma fulani hivi yaani we acha tu.......
Haya kwa ofisi nako kuna vituko vyake. Kuna jamaa 3 tunashare ofisi. Nao pia hatujuani kuhusu uanachama wetu JF. Kichekesho ni kwenye story sasa wakati wa lunch. Unashangaa mtu anaongelea pwenti ambayo umeimaliza kupost muda huo huo unafunga pc. Sasa unajiuliza hivi huyu ananijua au? basi sometimes huwa nabaki naguna tu mmh mmh manake dah .......eti sipendi tu kujulikana na marafiki wa karibu (workmates, roommates etc including mai-waifu wangu) kuwa niko JF
Hivi na wewe hii hali imeishakutokea? hebu tupe uzoefu wako basi..... au nishauri kuhusu hii hali yangu!
I don't share my laptop either at home or at work.....kwahiyo sina hofu. Nyumbani wanajua kama mimi nacheck JF and they real don't care coz they don't check in.
Kwanini niogope kwani hii ni porno site?that mean...uko very safe
Kwanini niogope kwani hii ni porno site?
Mkuu, sijawahi kufika huko nasikia tu. In simple terms, I have nothing to hide....kwani porno site zinaogopesha nini?
Mkuu, sijawahi kufika huko nasikia tu. In simple terms, I have nothing to hide....
Jamani nahisi wife naye yuko JF lakini hatujuani! Halafu hakuna anayeongeleaga kuhusu JF tukiwa pamoja, so hakuna anayejua kama mwenzie yuko humu au la. Mi na wife tukishaingia home ni family time, hakuna cha kugusa PC wala kuhamishia ofisi nyumbani, labda kuwe na kazi ya ofisi ambayo ni so urgent.
Kasheshe ni pale tunapokuwa tunapiga story za kawaida ndo nachoka! Unakuta mapwenti mengi tu ni ya humu humu JF, tena mengine nili-comment mimi mwenyewe au mengine alicomment mwanamke (sa sijui ni yeye!). Kwahiyo najikuta niko ktk dilemma fulani hivi yaani we acha tu.......
Haya kwa ofisi nako kuna vituko vyake. Kuna jamaa 3 tunashare ofisi. Nao pia hatujuani kuhusu uanachama wetu JF. Kichekesho ni kwenye story sasa wakati wa lunch. Unashangaa mtu anaongelea pwenti ambayo umeimaliza kupost muda huo huo unafunga pc. Sasa unajiuliza hivi huyu ananijua au? basi sometimes huwa nabaki naguna tu mmh mmh manake dah .......eti sipendi tu kujulikana na marafiki wa karibu (workmates, roommates etc including mai-waifu wangu) kuwa niko JF
Hivi na wewe hii hali imeishakutokea? hebu tupe uzoefu wako basi..... au nishauri kuhusu hii hali yangu!
Binafs imewah kunitokea,baada ya mabom ya gongo la mboto,kuna siku wahindi walikuwa na sherehe yao kukawa na milipuko,sasa hapa jf watu wakawa wanauliza jamani eee mnasikia huko,kila mtu alisema lake,kuna mmoja akasema mimi nipo kinondoni naskia,aaah,kwakua nami naish kinondon nikamuuliza upo kinondon ipi/.akasema mosko,uh nikamwambia ipi akaelekeza tena,nikamwambia isije ikawa tupo nyumba moja,,,,,katika kuelekeza tukajikuta tunakaa nyumba moja,asbuhi tukawa tunacheka ndo hadi leo,ingawa hatupo nyumba moja ila akiwa hapa najua:israel:Jamani nahisi wife naye yuko JF lakini hatujuani! Halafu hakuna anayeongeleaga kuhusu JF tukiwa pamoja, so hakuna anayejua kama mwenzie yuko humu au la. Mi na wife tukishaingia home ni family time, hakuna cha kugusa PC wala kuhamishia ofisi nyumbani, labda kuwe na kazi ya ofisi ambayo ni so urgent.
Kasheshe ni pale tunapokuwa tunapiga story za kawaida ndo nachoka! Unakuta mapwenti mengi tu ni ya humu humu JF, tena mengine nili-comment mimi mwenyewe au mengine alicomment mwanamke (sa sijui ni yeye!). Kwahiyo najikuta niko ktk dilemma fulani hivi yaani we acha tu.......
Haya kwa ofisi nako kuna vituko vyake. Kuna jamaa 3 tunashare ofisi. Nao pia hatujuani kuhusu uanachama wetu JF. Kichekesho ni kwenye story sasa wakati wa lunch. Unashangaa mtu anaongelea pwenti ambayo umeimaliza kupost muda huo huo unafunga pc. Sasa unajiuliza hivi huyu ananijua au? basi sometimes huwa nabaki naguna tu mmh mmh manake dah .......eti sipendi tu kujulikana na marafiki wa karibu (workmates, roommates etc including mai-waifu wangu) kuwa niko JF
Hivi na wewe hii hali imeishakutokea? hebu tupe uzoefu wako basi..... au nishauri kuhusu hii hali yangu!
naa kwanini uogope pono syt?dadavuaKwanini niogope kwani hii ni porno site?
naa kwanini uogope pono syt?dadavua
:hat:Unaweza kukuwa NAZJAZ ndio waifu wako