Jamani huyu dada nakosa raha

yutong

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2011
Posts
1,601
Reaction score
338
Jamani wewe martha mwaipaja sijui umenipa nini mimi, nakupenda kweli wewe dada
 
Attachments

  • Martha Mwaipaja.JPG
    22.3 KB · Views: 312
  • SDC13942.JPG
    22.9 KB · Views: 180
Jamani wewe martha mwaipaja sijui umenipa nini mimi, nakupenda kweli wewe dada

mambo ya kizamani kama umeshikwa nenda pale ambiance ukate kiu..ooh unaniumiza..oh nakupenda mambo ya kishamba..changamka
 
mambo ya kizamani kama umeshikwa nenda pale ambiance ukate kiu..ooh unaniumiza..oh nakupenda mambo ya kishamba..changamka

wivu tu unakusumbua pumbatupu wewe
 
mambo ya kizamani kama umeshikwa nenda pale ambiance ukate kiu..ooh unaniumiza..oh nakupenda mambo ya kishamba..changamka

hii avatar ya bibie BelindaJacob umeichakachua na mie nimemzimikia....please na moyo mmoja tu kwa Belinda
 
mambo ya kizamani kama umeshikwa nenda pale ambiance ukate kiu..ooh unaniumiza..oh nakupenda mambo ya kishamba..changamka

tatizo usiloliona ni kuwa pale ambiance hakuna ambaye yeye anamzimia...................
 
Mkuu hivi hizo gari hapo nyuma bado zipo?
 
Hana uzur wowote wala havutii,kweli ukipenda chongo utaliita kengeza.
 
ana taarifa kuwa tunaangalia sura yake mbaya humu internet?
 
Jiunge kwenye kwaya, utan'goa kiulaini kabisa.
 
mambo ya kizamani kama umeshikwa nenda pale ambiance ukate kiu..ooh unaniumiza..oh nakupenda mambo ya kishamba..changamka
Hahahahahahaaaa! Mkuu ndugu yetu kakamatwa na mtoto wa kinyakusa usipime. Kweli Mary Mwaipaja noumer! Pole kaka, endelea kupiga misele!
 
Sidhani kama tunamtendea haki YUTONG kwa kutoa criticism kwa huyo mtu wake. Watu hatufanani. Unachopenda wewe si lazima nipende mimi, so hii biashara ya kusema wala si mzuri...sio mzuri kwako lakini anamkosesha mtu mwingine usingizi. So be fair, and not judgemental kuna watu huku wanakandia lakini ukiwaona watu wao barabarani OMG....So be fair...thats it. Na kama ni mbaya kwako keep it to yourself. Wandugu tujenge utamaduni wa kujengana.
 
upo sawa sana
yaani nimekupenda sana kw ushauri wako..
hao wanaosema sijui mbaya ni kwa sababu jf hatuweki sura ila tungekuwa tunaweka lolol
wasingesema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…