Jamani huu ujeuri utanichepusha sasa

BIRman hilo ndio tatizo kubwa kwa wanawake walioolewa.
Wanajisahau sana, wengi waliokushauri hapa sio watu wa ndoa.
Na pengine hawana uzofu na jambo hilo.
Dawa yake huyo kama dini yakoinaruhusu kuongeza mke
kaoe mwingine.Atazinduka atajitambua.
Ni ushauri uliojaribiwa.
 
Last edited by a moderator:

Wewe ndio hutekelezi majukumu yako ukitekelekeza majukumu yako huyo atakupa asubuhi mchana jioni jitathmini vizuri na usifikiri umeoa kipofu au chuma na yeye ana macho kuna wanaume wanaomvutia pia sobusifikiri ni wewe ndio una macho peke yako. Linda ndoa yako na wtt wako jitathmini vizuri
 
Dos Santos heshima kwako. Nakubaliana na wewe 100%!!!! Now officially - wana JF natafuta mke...mmmh....anyone interested???????
 
Kama kuna joto ndio mzichange mnunue ac



Halafu inawezekana mkeo ana mikazi hapo ndani analala saa nane saa tisa unanwamsha kutaka dudu


Hebu kaeni mzungunze mjue tatizo lipo wapi mlitafutie uvumbuzi

La sivyo unatafuta tu visingizio umlambe hg
 
Ukiwajua wanawake vizuri utaishi kwa raha bila wasiwasi, kumbuka hisia za wanawake kingono ziko mbali tofauti na sisi wanaume. Hata mimi mwanzo ilikuwa hivyo ngoma kila ngoma ikisimama inataka kuchovya sasa mwishowe inakuwa kero. Kaa nae vzuri utamuelewa tu, usipelekeshwe na tamaa za kingono kwenye ndoa maana ndoa ni zaidi ya ngono mna mambo mengi ya kufanya
 
Nitonye nimeoa, siruhusiwi kwenda na nyege kazini.
 

Huko ni kumtetea mwanamke mwenzako na kama ni misemo basi ni ule wa muwamba ngoma..... tumia data ulizopewa kujudge sio kutumia assumption zako kisa anayelaumiwa ni mwanamke kama wewe. Be objective bana.
 
Huko ni kumtetea mwanamke mwenzako na kama ni misemo basi ni ule wa muwamba ngoma..... tumia data ulizopewa kujudge sio kutumia assumption zako kisa anayelaumiwa ni mwanamkekama wewe. Be objective bana.

Sitetei mwanamke unless kama ameoa mad woman lakini kwa mwanamke anayetunzwa vizuri sio rahisi kukunyima unyumba ndio maana namwambia ajitathmini kuishi na mwanamke kunahitaji akili
 
Penzi haliombwi...jifunze foreplay....jifunze jinsi ya kumuweka kwenye mood ya kufanya. Hivi unaombaje kufanya mapenzi.. ndo wale rara nikurenge....duuh hebu kuwa mjanja kidogo... Birdman
 
Ongea naye tu mbona wanawake waelewa sana. Kuliko kuanza kutafuta michepuko, nakuambia utasahau familia kama umeanza michepuko. shauri yao na kwataarifa yako michepuko sio suluhisho la hilo tatizo lako.
 
Haki ya nani watu wamenifungulia darasa seriously πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚.......9 years ukiona leo ninalalamika basi jua it's genuine. Jamani for all that time in marriage haiwezekani nikawa sijui mapenzi. Huyo kanichefua, ngoja nijianzishie tu visa visa you never know naweza bahatisha ngoma ya Ki-Tanga. Ala!! Who wants a stressful life these days.
 
hawa wanawake hawa, basi tu, na mie yananikuta na tena na mkono unasukumwa huko, kisa hataki usumbufu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…