Lakisipesa
Member
- Apr 1, 2012
- 20
- 11
FAHAMU UWEZO WA DAMU YA YESU KRISTO
Ukweli ni kwamba katika damu ya Yesu Kristo kunapatikana zaidi ya mambo manne nitakayokushirikisha humu; lakini kwa sasa naona nianze na haya manne:-
Imeletwa kwenu na
- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kuondoa dhambi. Imeandikwa katika kitabu cha 1Yohana 1:9 kuwa; Tukiziungama dhambi zetu, Yeye ni mwaminifu na wa haki hata ATUONDOLEE dhambi zetu, na kutusafisha na udhalimu wote.
- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kupatanisha. Imeandikwa katika kitabu cha Waefeso 2:13-16 kuwa; Lakini sasa, katika Kristo Yesu, ninyi mliokuwa mbali hapo kwanza mmekuwa karibu kwa damu yake Kristo. Kwa maana yeye ndiye amani yetu, aliyetufanya sisi sote tuliokuwa wawili kuwa mmoja; akakibomoa kiambaza cha kati kilichotutenga. Naye akiisha kuuondoa ule uadui kwa mwili wake; ndiyo sheria ya amri zilizo katika maagizo; ili afanye hao wawili kuwa mtu mpya mmoja ndani ya nafsi yake; akafanya amani. AKAWAPATANISHA wote wawili na Mungu katika mwili mmoja, kwa njia ya msalaba, akiisha kuufisha ule uadui kwa huo msalaba
- Uzima wa Milele katika Damu ya Yesu Kristo. Imeandikwa katika kitabu cha Yohana 6:53-54 kuwa; Basi Yesu akawaambia Amini, amini, nawaambieni, msipoula mwili wake mwana wa Adamu nakuinywa damu yake, hamna uzima ndani yenu. Aulaye mwili wangu na kuinywa damu yangu anao UZIMA WA MILELE ..
- Uwezo wa Damu ya Yesu Kristo katika kutulinda. Imeandikwa katika kitabu cha ufunuo wa Yohana 12:11a kuwa; Nao wakamshinda (shetani) kwa damu ya mwana-Kondoo . Mtihani mkubwa sana kwetu sisi wakristo ni kuyaweka katika matendo yale tunayofahamu katika Biblia. Nakushauri kwa Jina la Yesu Kristo kuwa uwe mtendaji wa neno, na usiwe msomaji tu. Ni maombi yangu kwa Bwana ya kuwa Roho wa ufahamu wa Bwana atakuwa juu yako unaposoma na ketenda neno lake.
Max Shimba A Bondservant Of Jesus Christ

usiku chukua ndula 4 na malimao ma4 weka kwenye pembe 4 za chumba chako pamoja na mkaa mweusi.

kahtaan bora umekuja bro uendelee kumpa darsa huyu jamaa!Sasa hapa ndio tunaona matatizo ya kwenda kwenye ibada halafu mnaaambiwa na mchungaji
"fungua kurasa ya tatu, kitabu cha wagalatia, haya someni"
NA NYIE MKASOMA!
Halafu mchungaji anasema" Fungeni kitabu tuombe" halafu mnafunga macho, mnaomba! mkitoka hapo hamuangalii kipi mmesoma au ni kwanini mmesoma,mpaka jumapili ijayoooo!
Sasa huhitaji kwenda chuo kikuu kufahamu kuwa, haiingi akili hata siku moja, Dhambi na makosa ufanye wewe halafu aumie na kubeba hizo dhambi mwingine, eti tu kwa sababu "Andiko limesema"
wakristo na waislamu wote tunakubali kuwa Yesu ALIPENDWA na MUNGU NDIO MAANA AKACHAGULIWA KUJA!
Sasa huyo huyo Mungu aliompenda amtoe kafara kwa ajili ya Dhambi za MAXSHIMBA NA KAHTAAN, !
Jamani! hayo kweli ni mapenzi hayo??
Haaaa! kama mapenzi ndio namna hiyo ,
Nadhani hata wewe MAXSHIMBA mungu akikupa hiyo offer sidhani kama utakubali,
Hata mimi mapenzi hayo ya kusulubiana na kumwaga damu yangu kwa ajili yako siyataki,
AU kuna mtu kutoka Bongoland yuko tayari kufanya hivyo,
kama yupo ajitokeze!!
sasa kama hili alikubaliki kwa binaadamu, vipi leo linakubalika kwa Mungu muumba na mwenye huruma kwa viumbe wake, tena hizi sifa za huruma ya mungu ziko humohumo kwenye " ANDIKO".
sasa kama unavyodai MAXSHIMBA !KWAMBA YESU KATESEKA KWA AJILI YANGU NA YAKO ni kweli, hio siku tukimuuliza Mungu Je huu ndio upendo uliomuonyesha mtumishi wako YESU?? ATATUJIBU NINI.
kahtaan bora umekuja bro uendelee kumpa darsa huyu jamaa!
Maana wewe ndio kiboko yake katika kumuelewesha!
Kuna binadamu wana matatizo sana
'
Hapa kila mtu yuko huru kutoa ushauri anaouona YEYE kuwa sahihi
'
Ni jukumu la mwenye mada kuamua achukue ushauri gani na aache,sasa hili jambo la sisi watoa ushauri kuanza kuponda ushauri wa mtu mwingine ni jambo la hovyo sana
'
Wewe kama kuna kinachokukera inabidi uwe mpole kwa kuwa haikuhusu
'
Mtu anasema damu ya Yesu ni tiba,wewe inakukera nini?Wewe umeshauri nini?
'
Watu wengine ni wa hovyo sana!
Dawa ni kutenda mema na kusali. Usiwachezee watu wa pwani ndugu yangu, ni wabaya sijapata kuona, wasije wakakurushia jini bure. Shangazi yangu alipoanza kazi pwani(kibaha) alianza kupata maluweluwe kama hayohayo uliyosimulia, baadaye kikaanza kichaa(anataka kwenda kucheza baharini muda wote), kwa ufupi ameteseka sana na mpaka leo ni kama miaka kumi amekuwa mtu wa kuumwa tu na kutopata utulivu.
Namalizia kwa kusema, Mtegemee Mwenyezi MUNGU. Kumbuka, mke wa mtu sumu, mali ya mtu ni sumu, dharau, kejeli na majivuni ni sumu. Ishi kwa upendo na hekima, utashinda yote kwa uwezo na utukufu wa mwenyez MUNGU
Wewe MaxShimba sio kila kitu kinaponywa kwa damu ya Yesu.
Tafuta kujua tatizo/chanzo cha kisa cha huyu mtaka ushauri kwanza.
Kwa maana hiyo unawaambia watu wazini na wake za watu, waue, wawakosee adabu wakubwa ili wakija haribikiwa wa mtegemee Yesu kuwaponya.
Yesu hajafundisha hivyo mkuu, nilitegemea ujikite kwenye kumuuliza kwanini hiyo hali inamtokea yaani ujue wapi kakosea, inawezekana hao aliowakosea akiwaomba msamaha kila kitu kitakua sawa.
Je, kama hajawaomba msamaha kwa hayo aliyowakosea unadhani Yesu atafurahishwa nae, si imeandikwa "mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe" je, kumuuzi jirani yako kwa namna yeyote ile Yesu anapenda?
Ngoja kahtaan aje akusaidie kuhusu mafundisho ya Yesu naona umeshaanza kusahau.
Wewe unaifahamu Damu ya Yesu? Umesha iona Damu ya Yesu? Unafahamu maana ya Damu ya Yesu? Unamfahamu Yesu? Jiratibu kijana. Yesu si Isa wa Jibril.
Mwenye mada kesha sema nini kinamtokea usiku usiku, sasa wewe unataka kuuliza tena swali la nini wakati jibu lipo? Sheytwain na Majini yote Machafu hayana chake mbele ya Damu ya Yesu.
Mark 16: 17 And these signs shall follow them that believe; In my name shall they cast out demons;
Hivyo basi, huyu Ndugu yeye Atumie Damu ya Yesu kwanza, halafu mengine yatafuata.