Jamani huu ndio Mtambo gani?

mtambo huu hauwezi kutengeneza gongo la haitakuwa kali.
 
Gongo inayotengenezewa mtoni ndo ya ukweee
 
kwa sasa inaitwa ..chombo..
Zamani
kachasu
ngumu kumesa
na ky
huiita chang'aa
znz..huiita tende...mashallah
...kama watengenezaji wakizingatia ingredients ni pombe nzuri isiyokuwa na shaka..kijijini kwetu nainywa sana nikiwa nimeshiba uzuri.
 
Chang'aa aka pyua aka gongo. Pale matejoo kuna kitu cha mixer ya papai. Fertilizer na pedi used by akina mama ukinywa hiyo mchana jua kali lzm utamuuliza mwezio jua limezama saa ngapi? Hapo ujue ushakuwa kipofu
 
Hivi inakuwaje mtu unaingiza kinywani kinachotoka huku?
 
Iyo kitu naiheshimu mbaya....machozi ya simba!
 
Kwa cc wanasayansi hyo process inaitwa frictonal distilation
 
Mungu alimuumba mwanadamu mntoofu lakini wamebuni mavumbuzi mengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…