Jamani hodi mpaka ndani

Kaundime2

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
1,085
Reaction score
461
Baada ya kuwa fesibuku kwa muda mrefu nimeamua sasa kujiunga rasmi huku,kule nimeacha mazimaaaa na nimetelekeza akaunti,kumeniboa sana.Naombeni huku mnipokee vizuri ila,

1.Msinitongoze - hii ina wahusu wanaume mimi nina wangu tayari,ukinibuguzi sana nakuchuna mpaka ukome ila hupati kitu kwangu,nimemaliza chichemi tena.

2.Muwe mnanipa ushauri mzuri kama ambavyo ungempa mdogo wako au ndg yako yoyote yule

3.Nasikia huku sijui kuna PM,mimi sizitaki so mambo yote yawe wazi jukwaani

4. Matusi sijui michambo sitaki. hayo ndo yamenifukuza kule FB so na huku mkinizingua nakimbia nabaki wasap tu

5.Mambo ya kutumiana viunga vya uzazi sitaki, ila sijui kama ipo hiyo. kule wasap nimeblok wengi sababu hiyo

6.Napanda urafiki wa kawaida sana na wanaume,unajua wa kawaida eeh basi ndo huo huo!

7.Wadada nawategemea sana sana jamani mi bado mdogo kimawazo

Ni hayo tu kwa leo ila samahani kwa niliyemuzi.
 
Karibu na ahsante kwa kujitambulisha wewe ni ke,ngoja nikuswalishe swali moja mahusiano uliyonayo ni ya kiapo au kiburudisho?
 
karibu ujisikie nyumbani

kutumiana nini??? hebu rudia hapo
 
hahahaaaaaa hizo cautions zako hizooooo nimecheka mpaka.... eti msinitongoze.... daaaaa sasa PM ndio utajaziwa sanaaaa ila karibu sana wakwetu
 
Wewe hiyo itakuwa umefungua user mpya sio kusema utakuwa mgeni humu...ila kama mgeni kweli karibu.
 
Ushakaguliwa? Kaka Asprin please do ze nidifulu...Mimi Nina hamu ya kuchunwa!
 
Aiseee kweli kua uyaone. Hizo tahadhari zako kiboko. Kwa haraka haraka hii itakuwa ni ID yako mpya umeifungua rudi kwa ile ya zamani utaeleweka tuu
 
The Boss

Dah mkuu statement yako kama inaniingia akilini vile, ngoja nianze nae.
 
Last edited by a moderator:
hio ya kwanza inamaanisha anatafuta wanaume au hamjamwelewa? hakuna mwanamke asiependa kutongozwa
 
binadamu kwa kejeri amjambo

haya uyo mwenye amu ya kuchunwa awe na mke, singo no kabisa coz wabahili sana alafu vinganganizi watanialibia kwa mai dia wangu
 
hahahaaaaaa hizo cautions zako hizooooo nimecheka mpaka.... eti msinitongoze.... daaaaa sasa PM ndio utajaziwa sanaaaa ila karibu sana wakwetu

Naomba baadae utanielewesha, maana sijaelewa kabisaaaa.
my mzima wewe???????
 
mmh huku nako!!!
unaguna nn? Tunanuka! Ila
unakaribishw sana angalia wenyej kistaarab ucje kw pupa na uwaheshimu sana maana huko kuguna na vgezo kibao wakat wengne tumeingia hatujawah kutongozw ovyo km unavo fikiria. Na huko PM kwan ucingie? Maamuz ni yako kukubal au la! Na ndo maana tunatumia ID feki kuwa huru mpendwa.
 
Kila kitu kiwe wazi hapa hapa kama unavyotaka au sio? Huko facebook ulikuwa unatumia jina gani? tuanzie hapo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…