Jamani hivi wachina washaanza kuita watu interview?

Jamani hivi wachina washaanza kuita watu interview?

neyma joseph

Member
Joined
May 15, 2016
Posts
22
Reaction score
2
Habari zenu wanajamvi,

Naomba kuuliza kama kuna mwenye taarifa yoyote kuhusu nafasi za kazi za wachina zilizotolewa kwenye exhibition iliyofanyika kwenye viwanja vya UDSM.

Asanteni.
 
Kweli wadau kuna alio hitwa au ilikua danganya Toto namm niliomba nafasi ya clearing and forwarding
 
Asilimia kubwa walioitwa walio mtaani yaani waliohitimu Tayari kama wewe ni mwanafunzi bado uwe na subra...
 
Back
Top Bottom