Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,431

orodhesha na mazuri aliyokufanyia ili tulinganishe.

Si kwamba hakupendi, ni kwamba ile bond ya baba na mtoto haipo kwa kuwa ulishasema wewe ulizaliwa nje ya ndoa. Na hujawahi kuwa nae karibu siku zote wakati unakua. Kwa hiyo usione kama hakupendi.. Msaidie kama mzazi wako.. mwengine mwachie Mungu.

Loly baba yako hakuwa na upendo toka mwanzo na ndio maana hakuweza kukusaidia kwa lolote lile ukiwa mdogo na mpka umekuwa umeweza kujitegemea............mshukuru Mungu uliweza kumsaidia japokuwa kwa shingo upande.............kwa vile ulishaanza maisha kwa kujitegemea sioni sababu ya kuteseka kuwaza kupata msaada kutoka kwake hata kama amepata bingo.......aendele kuwasaidia watoto wake hao wewe endelea kumlilia Mungu atakusaidia katika shughuli unazozifanya na ipo siku utatoka..............ondoa kinyongo chochote ndani mwako ili uweze kufanikiwa

wapendwa wana jamii forum naombeni msaada wenu kuhusu huyu baba yangu mzazi.

Kwa kifupi mimi ni mtoto wa nje ya ndoa ninatambulika kwenye familia na kwenye ukoo ninashirikishwa kwenye kila kitu kwenye majukumu ya hela na mambo mengine, baba yangu huyu hakuwa na uwezo siku za nyuma alikuwa ananisumbua sana kuniombaomba hela nanilikua nampa japo nikishingo upande maana hajanilea toka aliponitelekeza nikiwa mtoto kwa mama yangu hadi nimemaliza shule nimekuwa mtu mzima nafanya kazi ndipo alipo nitokea nakujionyesha ananipenda nikawa namjali kwa chochote nilichonacho, sasa hivi baba huyu kapiga bingo ana hela kama uchafu cha ajabu hana time na mimi

anawasaidia watoto wake wengine mitaji na mambo mengine mengi mazuri kasoro mimi

kanitenga kama mtu baki jamani na hajawahi kunifanyia chochote kama mzazi kwenye maisha yangu nimelelewa na mzazi mmoja toka utotoni sijuhi radha ya baba ikoje ila nilivyokua ndio kaanza kujipendekeza kwangu na wala sio kwa upendo ni kwajili shida zake

Hivi majuzi bila aibu ananiambia ananiambia nimsaidie kumtafutia mtoto wake sehemu nzuri ya kufanyia biashara anataka kumpa mtaji bila hata kujiuliza huyu nimeshamtendea lipi kwenye maisha yake jamani huyu ni baba anaestahili kuonyeshwa upendo kweli? maana sijawahi kufikiria au kuzania kuwa siku huyu baba yangu mzazi akiwa na hela atanidharau hivi.

Jamani wana jamii naombeni mchango wenu.

mambo0 madog6adogo0

ukø

0

0

M
hii thread imenifunulia mengi sana juu ya mioyo ya wanadamu.
1. yaani upendo siku hizi ni (officially) conditional upon how much money someone gives you (hata kama ni mzazni wako wa kukuzaa)!
2. kumbe hata baadhi ya watu wanaojifanya kuwasaidia wazazi ni kwa sababu walipata chochote toka kwao au wanataka kujionyesha tu kwa jamii kuwa wanatimiza wajibu wao lakini mioyo yao iko mbali kabisa!

3. undugu wa damu tena hauna nguvu, bali pesa kwanza, hakuna pesa, undugu unatupwa kule mbali!
4. nk
halafu eti watu wanajifanya kushangaa mfano kwa nini siku hizi mapenzi yamekuwa ya pesa tu, bila pesa hakuna mapenzi ya dhati. sasa kama ubaba/umama/undugu vyewnyewe vinaamuliwa kwa pesa, leo itakuja kuwa mapenzi?
na kama pesa ni muhimu kiasi hicho, kwa nini watu wasifanye ufirauni wa kila aina ili wapate pesa, kwa nii yasitokee mauaji, ushirikina, ukahaba, ushoga, ufisadi, rushwa nk. kwa nini tunawalaumu, jairo, chenge, shimbo, rostam nk wakati bila hela ama ufisadi yatawakuta haya yanayoendelea kati ya Loly na baba yake?
mmh, kwa kweli maisha haya bila Yesu ni hasara moja kwa moja!
wapendwa, mrudieni Mungu muweze kuyaona tena maisha katika maana yake halisi na katika makusudi ya Mungu.
muwe na amani na mbarikiwe wote

Umeona eeh. Naunga mkono hoja mia kwa mia.

Hivi wewe mbona mi sikusomi? Unatangaza injili au unatafuta waumini?
0

maisha yangu ni yakubangaiza siko fit wala nini? Watoto wake wanaofanya kazi pia amewapa misaada kasoro mimi? Yaani yeye anajua mimi sijui kama kapiga bingo
anaminya kiaina