Hata barabara kuu za mkoa wa Tanga zote bendera za chadema juu kila kijiji
Mi pia nimeiona njiani toka Iringa mpaka Mbeya ni M4C ila lipo tatizo vijijini ambako news kupatikana ni shida bado wako nyuma sana
Nilipokuwa njiani kati ya Mafinga na Iringa mjini gari lilisimama na wachuuzi wakafika mara. Walikuwa wakiuza mazao mbali mbali lakini kundi la wauza nyanya lilikonga nyoyo yangu huku nikiwa na skafu ya CHADEMA shingoni.
Walikuwa wakiuza "CHADEMA moja" haya yakiwa maneno ya wachuuzi hao na vidole viwili juu. Sikuhizi huko Iringa hawaiti elfu mbili bali "chadema moja huku vidole viwili vikiwa juu".
Kwa hili BoT wanatakiwa kufanya maamuzi magumu.
M4C forever!
Hivi Dar ni kijijini? Maana hawa ndio wanaongoza kuukata upinzani.