jamani hayo matokeo ya tcu mbona wengine hatuyaoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

jamani hayo matokeo ya tcu mbona wengine hatuyaoni?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by holmaa holy, Aug 12, 2012.

 1. holmaa holy

  holmaa holy Member

  #1
  Aug 12, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  kuangalia matokeo ya post za chuo 2012/2013 unafanyaje?
   
 2. k

  king rockie ATL JF-Expert Member

  #2
  Aug 12, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 265
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Hizo post za TCU hazijatoka bado!
   
 3. n

  nsunko Member

  #3
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  mbona web ya tcu inazingua toka majuzi kunann wadau?
   
 4. l

  lycan31211 Member

  #4
  Aug 13, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  da na hii inayopatikana jf unaangalia wapi
   
 5. kawimba

  kawimba New Member

  #5
  Aug 14, 2012
  Joined: Aug 5, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  NI VEMA KAMA HUNA UHAKIKA NA KITU UKAE KIMYA COZ WATU WANAKURUPUKA NA KUSEMA MATOKEO TAYARI KUMBE BADO, TUACHE PROPAGANDA TUWE WASTAARABU, KUWA NA BUSARA MTANDAONI SI KWA KUKURUPUKA HASA HAPA jamiiforum
  "WE ARE GREAT THINKERS LET US THINK WISE"
  ni hayo tu ​
   
Loading...