jamani haya yapo?

jamani haya yapo?

mtamanyali

JF-Expert Member
Joined
Dec 6, 2011
Posts
1,161
Reaction score
616
KAKA: Sweety mambo?
MDADA: Poa asante
MKAKA: Samahani dada, mimi ni kijana
ambaye nimekuwa nikikufuatilia kwamuda
sasa, na nimegundua wewe ni mtu ambaye
ningependa uwe mke wanguniishi nawe
milele, naomba nikuoe...
MDADA: Haleluya, hatimae salazanguzimeji
bu, nimepata taabu sana mimi
kaka,nimedangan ywanawanaume
wenginikajitahi di kutumia waganga wengi
ilinipatemume haikuwezekana,n
ikaamuakuokoka, nikafunga sana
nakukesha sana na kutoa sadaka
sanahakikutokea kitu, nikaamuakujiing iza
hatakatika klabu za mpira, mwaka
mmojanikawa Yanga mwingine nikawa
simba,wapi sikupata mume wa
kunioa,nikajiko ndesha niwe na shepu
yakimisslakini bure, nikahama tokaMoshi
nikaendaTanga na hatimae kuja kuja
Darhaikusaidia, nikajiunga na
facebook,twitte r, instagram, whatsapp
nikaanzisha mpaka blog ya kujieleza
natafutamume,si kupata mume wa
kunitamikia atanioa, nikajitahidi kuhudhuria
maharusimbalimb ali bure, hatimae leo
maombiyangu yamejibu, asante sana kaka
nikotayari hata leo kufunga ndoa
.MKAKA: Te te teeeee... Nakutaniaaaaaaa
aa!!!!!
 
hahahaaa!! na yeye angemwambia anamtania!

maisha yangeendelea at equilibrium point..!! HAKATWI MTU HUMU!
 
Hayo hayapo ni kisa cha kutunga ili watu wacheke...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom