L lucyivan Member Joined Dec 1, 2013 Posts 5 Reaction score 0 Feb 15, 2015 #1 NSSF mbona hatuwaelewi au ilikuwa danganya toto mbona mpaka leo kimya au wadau kuna mtu ameshapata taarifa yoyote
NSSF mbona hatuwaelewi au ilikuwa danganya toto mbona mpaka leo kimya au wadau kuna mtu ameshapata taarifa yoyote
bampami JF-Expert Member Joined Nov 5, 2011 Posts 5,700 Reaction score 4,126 Feb 15, 2015 #2 Mi mwenyewe sijui kuna nini mpaka leo kupo kimya tena sana.
N nstarone Member Joined Dec 4, 2014 Posts 46 Reaction score 6 Feb 15, 2015 #3 nssf wako wazembe kwenye serious issue
Mgayal JF-Expert Member Joined Oct 29, 2014 Posts 306 Reaction score 67 Feb 15, 2015 #4 Mwaka huu wajiri wengi wameamua kuchallenge jobseekers
korea kaskazini Senior Member Joined Feb 26, 2014 Posts 122 Reaction score 26 Feb 15, 2015 #5 Subiri interview ya tatu kama ww n mmoja wa waliopga zile mbili mkuu subira yavuta heri alwayz
K kemilyn Member Joined May 13, 2014 Posts 44 Reaction score 3 Feb 15, 2015 #6 Tuwe na subira tu...... Ila tusibweteke
calisy Senior Member Joined Apr 23, 2014 Posts 104 Reaction score 9 Feb 15, 2015 #7 mwezi watano ndo watu wanaaza kazi so kma kuitwa tna ni mwezi wa tatu mwishoni au wa nne kueni na subira
mwezi watano ndo watu wanaaza kazi so kma kuitwa tna ni mwezi wa tatu mwishoni au wa nne kueni na subira
Mgayal JF-Expert Member Joined Oct 29, 2014 Posts 306 Reaction score 67 Feb 15, 2015 #8 Hakuna mtu alyepigiwa simu mana naskia hawa watu huwa wanapiga simu tu kuwaita watu kazini.
mapengo junior JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,135 Reaction score 276 Feb 16, 2015 #9 Eeeh mungu jaalia niwe mmoja kati ya watakao pata hii kazi maana kitaa kugumu
bmk JF-Expert Member Joined Jan 27, 2015 Posts 571 Reaction score 861 Feb 16, 2015 #10 Duh...........
calisy Senior Member Joined Apr 23, 2014 Posts 104 Reaction score 9 Feb 19, 2015 #11 nssf majibu tayari wechaguliwa watu 80 ila bdo hayajatoka njee nimetumiwa watsup anayetaka nimtumie aseme
nssf majibu tayari wechaguliwa watu 80 ila bdo hayajatoka njee nimetumiwa watsup anayetaka nimtumie aseme
N Ntangilege Member Joined Aug 4, 2013 Posts 25 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #12 calisy unayo ongelea ww ni hayo ya supu ya mawe au mengine kama vipi nitumie watsup kwa 0788924584
N Ntangilege Member Joined Aug 4, 2013 Posts 25 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #13 calisy unayo ongelea ww ni hayo ya supu ya mawe au mengine kama vipi nitumie watsup kwa 0788924584
K kemilyn Member Joined May 13, 2014 Posts 44 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #14 Hv supu ya mawe yuko serious.... Hyo link yenyew imetolewa, mi hata cna imani nae
K kemilyn Member Joined May 13, 2014 Posts 44 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #15 Si uyatume humu watsap ndo nn?
calisy Senior Member Joined Apr 23, 2014 Posts 104 Reaction score 9 Feb 19, 2015 #16 ni kweli cjui jinsi ya kuyatuma
K kemilyn Member Joined May 13, 2014 Posts 44 Reaction score 3 Feb 19, 2015 #17 Mbona nssf hawajaweka kweny website yao, yan kitu serious kiwe jforum
mapengo junior JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,135 Reaction score 276 Feb 19, 2015 #18 calisy said: nssf majibu tayari wechaguliwa watu 80 ila bdo hayajatoka njee nimetumiwa watsup anayetaka nimtumie aseme Click to expand... calisy said: ni kweli cjui jinsi ya kuyatuma Click to expand... Tuma kwa WhatsApp
calisy said: nssf majibu tayari wechaguliwa watu 80 ila bdo hayajatoka njee nimetumiwa watsup anayetaka nimtumie aseme Click to expand... calisy said: ni kweli cjui jinsi ya kuyatuma Click to expand... Tuma kwa WhatsApp
calisy Senior Member Joined Apr 23, 2014 Posts 104 Reaction score 9 Feb 19, 2015 #19 wakina lowassa, na sumaye juuu
mapengo junior JF-Expert Member Joined Jun 28, 2011 Posts 1,135 Reaction score 276 Feb 19, 2015 #20 Aahh kumbe supu ya mawe