Jamani hashiki

Kwanza kawaruhusu nani kutafuta mtoto wakati nyie ni wapenzi???.......
Anyway kwa sababu mmejihalalishia nendeni kituo cha afya kilichopo karibu kwa ushauri zaidi.Pwelo kiongozi
 
Ustawi wa jamii msakeni huyu jamaa anataka kutuongezea watoto wa mitaani, atundike mimba asepe
 
Mmh yani ndoa hadi mwaka kesho kutwa afu mtoto unamtaka leo...! Kumbe uwezo wa kulea familia unao, si mfunge ndoa sasa, au?

cha ajabu zaidi mtoto mwenyewe kaanza kutafutwa miaka mitatu iliyopita, loh
 
Swala la kuweza kupata mtoto ni majaaliwa yake Mwenyezi Mungu pia tatizo laweza kuwa la mmoja yeyote Kati yenu siyo lazima iwe jinsia Fulani,Sijui kwanini wengine wanazitoa wakati wengine wanazitafuta kwa dhati.Ila naamini endeleeni kujaribu naamini mtakuja fanikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…