Jamani hashiki

Tatizo liko kwa huyu mchumba wangu thuz why naomba ushauri kwenu ila suala la kuzini kweli ninakosa , but lazima uchunguze be4 Au ?
 
huyo mpenz wako au mke, yaani mnatarajia kufunga ndoa miaka 2 ijayo lakini mshaanza juhudi za kupata mtoto na ukajua hadi hashiki!
 
huyo mpenz wako au mke, yaani mnatarajia kufunga ndoa miaka 2 ijayo lakini mshaanza juhudi za kupata mtoto na ukajua hadi hashiki!

Yap, tatizo ni umbali tuliokua nao, uchumba tu miaka Tisa imepita so now dayz natamani xana kuwa na mtoto but mchumba angu hashiki mimba,
 
Je mmekubaliana, uzae nae mwaka huu muoane mwaka kesho kutwa mhhh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…