kanyela mumo
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 2,033
- 2,124
Umejaribu kumuuliza ustaadhi GOOGLE??Kihongozi mkuu wa Israel kafurah sana Rais Trump kuitembelea Israel.
Na pia kampongeza kwa kutembelea Waislam, na wao WAJUZI kisha Wakristo, kwani akitoka hapo anaenda kwa Pop Vatican.
1. kwanini Israel wamejiita WAJUZI wakajitenga na Waislam pamoja Wakristo?
Kwa wataalam wa mambo naombeni mwongozo wenu, Wajuzi ni watu gani?
Source Azam two.
Duu ulienda shule kusomea ujinga? Au upo usingizini bado (haujahamka)
Umejaribu kumuuliza ustaadhi GOOGLE??
Hamkeni - amkeni
Kihongozi - kiongozi
Kwa hisani ya Faiza Foxy
Haya bhana... endelea kuwa na subira waje wenye vichwa vyao vilivyo haiGoogle ndio hao, nataka majibu na maono kutoka kwa vichwa vilivyo hai.
Haya bhana... endelea kuwa na subira waje wenye vichwa vyao vilivyo hai
Kumbuka pia kumkataa bashite
Nadhani lahaja ya mahali atokapo inachangia si rahisi kuacha ni kama mchaga na matumizi ya r na l.Hamkeni - amkeni
Kihongozi - kiongozi
Kwa hisani ya Faiza Foxy
Ni kama vile dini fulan ya bongo pia inavojipendekeza kwa waarabu bt kinachowapata wakififka huko wanageuzwa ka ngurue na kuuwawa ila hawakomi, kaz kujitia ujinga tu, mara oooh nna ndugu zangu muscat sijui oman, bt wakifka huko wao wanageuzwa watumwa na kubakwaISRAEL NI MAYAHUDI wao wako against dhidi ya dini zote (Wajuzi) ila nashangaa dini flani kutoka bongo inajipendekeza sana kwa waizrael
OYYY HAMKENI NDO KITU GANI ?Kiongozi mkuu wa Israel kafurah sana Rais Trump kuitembelea Israel.
Na pia kampongeza kwa kutembelea Waislam, na wao WAJUZI kisha Wakristo, kwani akitoka hapo anaenda kwa Pop Vatican.
1. kwanini Israel wamejiita WAJUZI wakajitenga na Waislam pamoja Wakristo?
Kwa wataalam wa mambo naombeni mwongozo wenu, Wajuzi ni watu gani?
Source Azam two.
Alafu mnajisifu kuwa mna elimu sana Hahaaahaaa!! sometimes ignorance is blessing!! Ubarikiwe mtumishiNi kama vile dini fulan ya bongo pia inavojipendekeza kwa waarabu bt kinachowapata wakififka huko wanageuzwa ka ngurue na kuuwawa ila hawakomi, kaz kujitia ujinga tu, mara oooh nna ndugu zangu muscat sijui oman, bt wakifka huko wao wanageuzwa watumwa na kubakwa
Hamkeni - amkeni
Kihongozi - kiongozi
Kwa hisani ya Faiza Foxy
Asante. Ingawa watu fulani huwaita "Wayahudi" eti "Mayahudi"!walikataa shule, wakawa wanashimda madrasa kupiga dau. mwambie pia sio WAJUZI, ila ni Jews (wayahudi).... mwambie pia Jewish sio dini, bali Judaism ndiyo dini yao.