Jamani first year mimi nakufa njaa chuoni

wewe Van Dame kuna Uzi umeandika unasema wewe ni director wa TCU. ...nashangaa tena kuona Uzi wako huu unalia njaa upo chuo ....watu wenyeji wa JF tunaunganisha dots
 
wewe Van Dame kuna Uzi umeandika unasema wewe ni director wa TCU. ...nashangaa tena kuona Uzi wako huu unalia njaa upo chuo ....watu wenyeji wa JF tunaunganisha dots
Sodoka kichwa maji
 
Jaribio la utapeli limefel...unahitaji burn kijana
 
Pole sana#Next time msifanye ujinga kwenye uchaguzi

Pia nakushauri kama hali ni ngumu postpone(ahirisha) mwaka,kisha urudi kijijini ukalime ili upate fedha ya kujikimu

Elimu ya mserereko ina changamoto zake,kama unatoka familia duni kuwezeshwa na serikali ni muhimu,ila kama umekosa mkopo,chukua ushauri niliokupa.

kupanga ni kuchagua.

Hapa kazi tuu.Haki elimu...
 
Jifunze ku-bet bila hivyo umekwisha.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kama ile mech ya man u aliyokong'ong'otwa had raha yan
sasa iv nina hamsin mfukon ndio maisha hayo maana bila maujanja unakufa iv iv
 
Weee jamàa mwaka jana ulisema unafanya kazi TCU imekuaje tena uko chuoni ...au tcu ulishfukuzwa nin
 
Mbona sijaona waliokupatia hiyo 40 hapa hata evidence tuu
 
kubet wakat buku yenyew kwake tatzo tatzo mkipata bum yani unasahau kama ulishindia maji na kipande cha embe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…