mkuu vumiliaWakuu hali inazidi kuwa ngumu..!!
NAHITAJI MDHAMINI WA KUNIPA PESA YA KULA HATA 50,000.
ASANTENI.
niuzie hyo simuMkuu nmekaa kwenye kimbweta hapa tangu asubuhi natumia wifi ya chuo.
Njoo hapa MR hotel nikupige offer ya lunchMkuu nmekaa kwenye kimbweta hapa tangu asubuhi natumia wifi ya chuo.
Inamaaana naweza nkakosa mkopo au?Nakumbuka enzi za chuo tulikuwa tunapanga foleni kwa muuza mihogo bila kujali sister du wala nini wakati boom linapochelewa kutolewa, ila likija huyo jamaa tunamsahau kwa muda.
Maisha ya chuo niliyaona magumu sana lakini yalipita. Komaa tu jamaa huenda utapata mfadhili.
Unamaliza hela kwa kununua bandle weweWakuu hali inazidi kuwa ngumu..!!
Siku hizi nakula mlo mmoja tu usiku.
Tena wali maharage 1000/=
Bila hata maji ya kunywa.
Wazazi hawana pesa wanasema wamekopa mpaka wamechoka.
Naombeni ushauri nifanye nini???
Nimechaguliwa BACHELOR OF SCIENCE IN NURSING lakini nmekosa mkopo.
Mbna KOZI ZA AFYA MAGU kasema frst priorty ila mimi nmekosa kabisa..
Naombeni msaad jamani wa kifedha nitakufa njaaa.
NAHITAJI MDHAMINI WA KUNIPA PESA YA KULA HATA 50,000.
ASANTENI.
Hujapataga tu Mwana Mkuu wangu?ungekuwa dar ningekupa offer ya kukaa kwangu