Multiple ID at work...
@errick mbona nimeuliza vizuri tu jamani!
wakuu... habari zenyu? ningependa kujua hasa kwa kina juu ya hawa ma member wenzetu.. oil sumu na mpigamsuli je ni watoto wa kike au vipi? kwa kweli nimekuwa sointerested sana na story zao pamoja na thread wanazozitoa.. ningekua na kikundi cha taarabu, ningewapa tender..! sumu tamu
AllenMwita peleka ukurya wako huko huko! hujaulizwa..! allaaaaahh!kijana amerudi na ID nyingine,? haujakoma tu.
nawasubiri waje! still bado hoja yangu ni kuwa hawa watu ni wanawake ama vp?
AllenMwita peleka ukurya wako huko huko! hujaulizwa..! allaaaaahh!
wakuu... habari zenyu? ningependa kujua hasa kwa kina juu ya hawa ma member wenzetu.. oil sumu na mpigamsuli je ni watoto wa kike au vipi? kwa kweli nimekuwa sointerested sana na story zao pamoja na thread wanazozitoa.. ningekua na kikundi cha taarabu, ningewapa tender..! sumu tamu
ni ku pm nn sasa! we domo zege nn!!?
Kwanza nimenotice members wengine JF wanajifanya jinsia zote mbili kwenye occasions tofauti tofauti........kama ni mwanamke nyuma ya screen sitoshangaa sana....ajabu lidume lijifanyapo jike ili tu liseme point.....inasikitiaha[/QUO hujaona swali au?
we rudi kwenu kafungue mradi wa kuuza kichuri! eti uclass, hivi unaijua dsm ww? utaishia ubungo mjinga ww!