mysteryman
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 1,024
- 275
jamani chit-chat besides jamani nakiu mwenzenu..,.dah! Mambo gani haya sijanywa bia wiki ya tano hii jamani!!! Kah sio vizuri hivo kubaniana jama...najua leo ni bize monday lakini hata tubia tuwili tu jamani?!...hebu acheni unoko huo wa kubaniana jama ebo..!! Kwani jamaa angu ukinipa tubia tuwili unapunguza nini? Au mdada ukinipa tubia tutatu unapata nini?? Haya haya jamani nani atanipa hyo ofa jama...we niite tu leo mi ntaja lipiza ipo cku haki vile.,.kah nife na kiu na watanzania wenzangu mpo ebo...??!!