Mmh kama mna mtoto mdogo na mkeo tumia condom wasikudanganye hao, usipofanya ivyo utabebanisha watoto njia za kunywa vidonge au kuchomwa si ndano si nzuri kwa mkeo, condom nenda duka la madawa nunua mana naamini zitakuwa nzuri ila kama wewe si mbaili nunua rough rider nzuri sana