masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,378
- 19,271
Tafuta malaika bendi ndio yake
Huenda sijakuelewa masai dada! Unamtaka bella ama unataka muziki wake? Kama ni muziki wake nunua CD.
christian bella,barnaba,banana zorro
hawa wasanii nawapenda sana...wakiimba live..nawapenda sana
Njoo...
au unaingia kazini usiku
najua haupo tena na rafiki yako nyamunge
hivyo kuwa na marafoki wengine ni vyema ila upoteze mawazo
Kiukweli bella anaimba vizuri sana