Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member Joined Jan 10, 2009 Posts 5,473 Reaction score 757 Jan 6, 2012 #1 Jamaa anachovya kwenye maji ya sabuni badala ya bakuli la mchuzi na mwishowe anavunja shingo kisa kuchabo... Watch this out Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Jamaa anachovya kwenye maji ya sabuni badala ya bakuli la mchuzi na mwishowe anavunja shingo kisa kuchabo... Watch this out
Heart JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 2,673 Reaction score 1,714 Jan 6, 2012 #2 Mmmh...makubwa!!..pale ilifaa aangukie pua,asingerudia tena.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Jan 6, 2012 #3 Chabo ni uteja, kama uteja mwingine wowote
Zamaulid Platinum Member Joined May 25, 2009 Posts 20,181 Reaction score 16,449 Jan 6, 2012 #4 HEART said: Mmmh...makubwa!!..pale ilifaa aangukie pua,asingerudia tena. Click to expand... toka lini mchovya asali akachovya mara 1!!hata akiangukia ulimi atarudia!
HEART said: Mmmh...makubwa!!..pale ilifaa aangukie pua,asingerudia tena. Click to expand... toka lini mchovya asali akachovya mara 1!!hata akiangukia ulimi atarudia!
Chatumkali JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 2,037 Reaction score 459 Jan 6, 2012 #5 Ki komedi flan hivi!
batadume Senior Member Joined Mar 4, 2011 Posts 101 Reaction score 7 Jan 7, 2012 #6 duuuuu huyu sister alijua ata muumiza tu huyu jamaa cyo feya kabisa hata shetan hapendi
Michael Amon JF-Expert Member Joined Dec 22, 2008 Posts 8,769 Reaction score 3,649 Jan 7, 2012 #7 Ha ha ha haaaaaa!!!! Dah!! jamani kweli chabo mbaya. Umenikumbusha mimi zile enzi zangu siku moja nilitumbukia kwenye mtaro wa maji machafu wakati nilipokuwa nikipiga chabo.
Ha ha ha haaaaaa!!!! Dah!! jamani kweli chabo mbaya. Umenikumbusha mimi zile enzi zangu siku moja nilitumbukia kwenye mtaro wa maji machafu wakati nilipokuwa nikipiga chabo.