Natureπ π π Hivi vitu visingekuwepo dunia maisha yangekuwa mazuri sana
Naelewa,Vibaya mno, mwanangu hujui kama uzuri ni subjective?
Picha ya kwanza kabisa,Naelewa,
Make a trap upige πͺ€
Nimeviona sasa hapo ni vingi mikononi mwili je?Picha ya kwanza kabisa,
Huyo Mwanamke ana vinywele vingi mkononi kuliko hata huyo Mwanaume aliye karibu nae.
Mkuu, wewe unaangalia generally, wenzio wanaona featuresπ, kuna mmoja kaona midomo. Mimi nimeona madoido na macho mkonyezo.kwaio hapo we unaona ni kali mbaya ππ hasibu bhana
ππ Sawa mkuuMkuu, wewe unaangalia generally, wenzio wanaona featuresπ, kuna mmoja kaona midomo. Mimi nimeona madoido na macho mkonyezo.
Dogo kaoa lini ?Mke wa secretarybird nimemuona kwenye huu Uzi maninaa
Mkewe humjui yule anaesema wanaume wanaingia mweziniDogo kaoa lini ?
Popo auMkewe humjui yule anaesema wanaume wanaingia mwezini
Ewaaah πPopo au
πΉπΉπΉ Anaona vitu vyake, km Faiza hivi anakuja afu anakataa..!!View attachment 3581312
Jongwe Anaipimia Kwa Mbaali.....Bibieeh Si Haba....!!!